@raythegreatest vincent kigosi

I am Actor Director C.E.O of RJ Company Hard worker & Money maker

@raythegreatest photos and videos

2 weeks ago

Hivi Mwanaume Ukitaka Kutoka Kwenda Sehemu Unaomba ruhusu Kwa Mwenzi Wako Au Unatoa Taarifa ?

7.7k286
3 weeks ago

Huyu jamaa nina tofautiana naye sehemu moja tu kupenda lile timu bovo la mbeleko Ila Ulaya tuko pamoja kwa mashetani wekundu ...Happy Birthday to you Broo Mungu akupe maisha marefu yenye baraka tele na ufahamu mzuri ili uipende timu ya Wananchi iliyokupa Uhuru wa Nchi hii Happy Birthday to you kwa mara nyingine tena. @mwanafa @mwanafa

3.6k32
4 weeks ago

Kina @mwanafa na @ommydimpoz @hajismanara na mikia wote msijifiche kwenye kivuli cha Liverpool turudi kwenye agenda kuu ya wiki ni Derby na kwa taarifa yenu sisi tulishamaliza ligi tangu tarehe 8 hizi game zingine sijui tumefunga bao nane.. ila mkilisikia tu jina la Morrison nane zote zinafutika Ndegelec bado tupo na nyinyi wiki nzima hii hatuwaachi bumbaavu @yangasc @yangasc

55121
4 weeks ago

Wiki nzima hii tunatamba sisi tu bumbaavu Ubingwa wa mbeleko chukueni tu sisi kuwafunga nyie ni ubingwa tosha Gademit narudia tena wiki nzima hii ni sherehe mpaka @mwanafa atuambie lile jambo lao liliishaje pale uwanja Taifa na ile sare tarehe nne ile mliipataje . @yangasc @yangasc @mwanafa

3.1k169
4 weeks ago

Ni watu wachache sana tena kwa Umri mdogo kama wa Ndugu yangu GHARIB PRESIDENT WA BRAND CHAPA GSM kutambua kuwa AMANA walizokirimiwa na Mungu wazitumie kuleta furaha kwa watu. GSM Jana wamefanya hivyo kwa kuwapa FURAHA mamilioni ya Watanzania wapatao milioni thelathini. Sasa mamilioni hayo yanaachaje kununua bidhaa za GSM wakati kinachopatikana kina rudi kwao kuwaletea FURAHA??? Ni MWENDAWAZIMU TU ANEWEZA KUTONUNUA BIDHAA ZA GSM. Nunua bidhaa za GSM ili Furaha irejee kwako..RESPECT KWAKO GHARIB NA JOPO LAKO HAKIKA UMEWEKA MIHURI YA MOTO KWENYE MIOYO YA WANANCHI KAMA WEWE NI MWANANCHI MPE NENO LA UPENDO GHARIB PRESIDENT WA BRAND CHAPA GSM @caamil_88 @gsmtanzania @deomutta @yangasc @caamil_88 @antonionugaz

4.3k80
4 weeks ago

Waletee Haooo Wazee Wa Mbeleko Ila Kesho Wale Viongozi Wa Caf Watakuwepo Angalau Wataona Aibu Sasa Hapo Ndipo Wakapojuta Kuzaliwa ...Wananchi Njooni Tena Mtembee Kifua Mbele Hawana Pakutokea Hawa Jamaa Zetu Kwanza Wazee Kilichowafanya Waongoze Ligi Nadhani Mnakijua... Tukutane Taifa Kesho saa 11 Baada ya Hapo Ndipo Tutakapoanza Kuheshimiana @yangasc @yangasc

6.1k190
4 weeks ago

Waaape Salaaamu @yangasc @yangasc

41012
last month

Happy Birthday My Big Broo Mbunge Mtarajiwa Wa Iringa Mjini Mungu Wa Isack Na Yakob Akupe Maisha Marefu Yenye Baraka Tele Wewe Na familia Yako. @stevenyerere2 @stevenyerere2

97913
last month

Club Legends Presents THE LEGENDS GET TOGETHER OLD SCUL REUNION PARTY This Saturday February 22nd Entrance 15,000/- Before 12 Midnight 20,000/- after 10,000/- For Reunion Groups of more than 10 & For Dressed in 80's Costumes Party Starts From 4PM With Nyama Choma & Entertainment, Lots Of Offers, Special Ladies Treats & surprises Club Legends Namanga Zamani nyumbani #TukutaneClubLegends #ThisSaturday #weloveoldschool #weloveoldies @clublegendstz @djjdakathelegend

2265
last month

Sasa Umefika Wakati Wa Kulipua Bomu Msije Sema Sijawaambia .

6.9k125
last month

2.8k126
Jan 2020

Daresalaam Daresalaam Ijumaa ya Leo Mji una Kaaaaaziiiii... Weweiiiiii Tuliaaaaaaa Oyaaaa ni #CrazyMaskOffParty ndani #MaishaClub Mwenge #OmmyKichaa Anavua Mask alafu Kinawaka Mbaayaa mjuze na mwenzako Buku Kumi tu Mlangoni Leo Abaki Mtu Nyumbani wote Maishani Mwenge cc @djommycrazy @djommycrazy

5915
Jan 2020

Sina Budi Kukushukuru Mungu Baba Kwa Hii Zawadi Uliyonipa Maana Ni Wengi Wenye Mahitaji Ya Watoto Ila Mungu Baba Bado Hujawabariki Ila Ninachopenda Kuwaambia Ndugu Zangu Msikate Tamaa Maana Mungu Wa Haki Hawaishi Wala Hacheleweshi Bali Ujibu Maombi Kwa Wakati Sahihi Maana Hata Kwa Upande Wangu Mimi Mengi Yalisemwa Ila Mungu Baba Akawajibu Kwa Vitendo Na Ndio Maana Mtoto Wangu Nikampa Jina La Jaden Msiojua Maana Yake Ni Mungu Amesikia Niwatakie Jumapili Njema @jadenthegreatest

4.7k41
Jan 2020

Happy Birthday Mtoto Mzuri Mungu Wangu Wa Haki Akupe Miasha Marefu ukuwe kwenye malezi Bora Yampendezayo Mungu @im__sangairene @im__sangairene

1.5k10
Jan 2020

Hongera sana Broo hii ni big step kwako na kwa Nchi pia no matter timu ipo nafasi ya ngapi wewe unachotakiwa ni kuwafunga tu mpaka wajue Watanzania sio watu wa mchezo na kwa uwezo wako na Discipline uliyonayo kwa unachokifanya najua kabisa utoweza kuwaangusha Watanzania Mungu akubariki na akutie nguvu kwenye majukumu yako mapya kwenye timu yako mpya ya @avfcofficial @samagoal77 @samagoal77 .

3.1k24
Jan 2020

Balozi wa @robbyonefashion_kids @jadenthegreatest kanituma niwaambie kuwa mambo yapo mengi pale @robbyonefashion_kids kona ya kwenda Mwananyamala kuna kila aina ya pamba fika pale mtoto wako apendeze.. Mzazi bora ni yule anayekamilisha mahitaji muhimu ya mtoto kama kula vizuri kulala pazuri elimu bora pamoja na mtoto kupendeza:.. kwa Mawasiliano zaidi unaweza kuwapata kwa namba 0714 74 28 25 @robbyonefashion_kids @robbyonefashion @jadenthegreatest @chuchuhansy

4.7k22
Jan 2020

Happy Birthday @hajismanara Mwenyezi Mungu Akupe Maisha Marefu Yenye Baraka Tele... Enjoy your Day My Big Broo ila punguza mdomo utakuponza @hajismanara @hajismanara @hajismanara

3.5k23
Jan 2020

JADEN THE GREATEST @jadenthegreatest

4.2k25
Jan 2020

Pullover workout @dar_gym

40011
Jan 2020

*Ni muda wetu Sasa wanachama na Mashabiki kuonyesha shukrani kwa viongozi wetu na GSM kwa kile walichokifanya katika dirisha dogo la Usajili kwa kuimarisha kikosi na benchi la ufundi kwa Kwenda uwanjani kwa wingi kuanzia leo,Twendeni kwa wingi Uhuru tukawasapoti wachezaji wetu ,na kununua bidhaa zote zinazozalishwa na kampuni ya Gsm kama wao wameweza kutupa furaha kwa kufanya usajili uliotukuka kwanini na sisi tusirudishe shukrani zetu kwao kwa kuendelea kununua bidhaa zao ili waendelee kutupa furaha ndani ya timu yetu nadhani tumeelewana Wananchi haya tukutane Uhuru Tukamtepeshe Kagera @yangasc @yangasc @caamil_88 @caamil_88

2.4k35
Jan 2020

2.1k123
Jan 2020

Enjoy Your Day My Son @jadenthegreatest @chuchuhansy

4.5k35
Jan 2020

Nitazidi kukushukuru na kukutumainia wewe Mwenyezi Mungu daima kwa hii zawadi uliyo niletea hapa Duniani!Lakini pia hii zawadi uliyo nipatia leo hii imetimiza miaka kadhaa tangu unizawadie,leo ni siku yake yakuzaliwa,Jaden mwanangu nazidi kukuombea kwa Mungu Mimi Baba yako,ukue kwenye maadili yaliyo bora yenye kumjua Mungu nakumuamini,lakini pia nakukusisitizia Elimu bora ndio msingi wa maisha yako,Nakupenda Mwanangu,nakutakia kheli ya siku yako ya kuzaliwa Mwanangu @jadenthegreatest @jadenthegreatest @chuchuhansy Ahsante sana @unclebenp @robbyonefashion @robbyonefashion_kids

8.6k130
Jan 2020

Monday

6.4k75