@officialammychiba Ammy Chiba

East African Female artist Signed under Black Dot Music Top 5 Bongo Star search 2013 Winner Supernyota Mbeya 2016

@officialammychiba photos and videos

5 days ago

HAKUNA video is out @kibongewayesu Directed by @poshadanta_ratino #shikamooposhaumeumizasanahumu .

647
6 days ago

For more infoz follow hii page instagram @sdpupdates @sdpupdates

7521
6 days ago

Full Video is on YouTube @Zill Vega usisahau kusubscribe

362
1 weeks ago

Leo ndani ya hotshow, @92 .7highlandsfm Host @mr_tee_kilaka_mashinee

13225
2 weeks ago

Brand new video KILAINISHI by @mtafya_tz Go and subscribe kwa YouTube channel yake na utizame nyimbo hii..

713
2 weeks ago

Brand new video from @trinasouth_ Song TULO Link kwa bio yake. Yo'killed it ma girl.

450
3 weeks ago

My mom,my world. #happymothersday

14525
3 weeks ago

My son @official_vviny_tz

852
3 weeks ago

FINALLY!!!!!💥🔥THE VIDEO LYRIC IS OUT!🙌🔔🔊bonyeza link👇 https://youtu.be/MrCYEtjT34Y ukausikilize #HAKUNA 🔥naamini wimbo huu utainua imani kwa Mungu hasa katika hiki kipindi kigumu tunachopitia tambua kuwa hakuna jina lingine litupasalo kuokolewa kwalo isipokuwa jina YESU.💪 Matendo 4;12.Mungu akubariki unaposikiliza wimbo huu🙏 tafadhali usiache ku-subscribe lakini pia share na watu Wengi kadri uwezavyo na Mungu akubariki🙏🙌 Audio by @iam .kingson_sr Artwork by @edward_vfx . #mwanzompyampenyompya 🙌🔥 #kibomelodies #HAKUNA 🔥 @kibongewayesu

453
3 weeks ago

Happy birthday darling, mwanangu mwenyewe,mchizi mwenye roho ya kinyamwezi,chizi karogwa tena, more life @am__kiki Black bird

1239
3 weeks ago

6430
4 weeks ago

NO LOVE,NO STRESS, REMIX. @mabantuofficial @twaah_mabantu @muuh_mabantu @younglunya @moni_centrozone Produced by @gachib Studio @blackdot_tz

606
4 weeks ago

Happy birthday my beautiful @moureen_godfrey ,Mungu akupe miaka mingi yenye baraka tele. #moremoneymoresuccess .

1728
4 weeks ago

NGOMA MPYA kutoka kwenye EP ya @Otuck_William iitwayo #BlackIsGold , wimbo unaitwa #Drip akimshirikisha @iamconboi & kutayarishwa na @gachib 🔥🔥 Uskilize hapa: shorturl.at/wGIWY First song out of @Otuck_William #BlackIsGold EP, the song called #Drip Ft. @iamconboi & produced @gachib IS OUT NOW! 🔥🔥 Check it out on Audiomack now: shorturl.at/wGIWY

751
4 weeks ago

Its corona season,stay home and be safe. #Mbeyaqueenhalafukunawatuwatabisha .

22832
4 weeks ago

Blackdot girl in blue. @officialammychiba Music in blood.

25734
4 weeks ago

Focus. @officialammychiba . Blackdotgirl. Kondegirl.

18835
last month

Heri ya mfanano wa kuzaliwa,Mungu akupe miaka mingi yenye mafanikio tele,alifanikishe kila hitaji lako,your more than a family to me dia,I love you my friend, toka utoto mpaka sasa tuko pamoja,toka darasa la kwanza mpaka chuo tukiishi kwa ugali na nyanya chungu asubuh😂😂😂samahan lakn kwa kutoa hii siri,nakupenda sana rafiki angu @lucy_scarf

11810
last month

Get the brand new audio Hujamzidi baby wangu By @badest_47 Link kwa bio yake.

674
last month

Bedroom remix @harmonize_tz Kondegandworldwide @officialammychiba .

531
last month

Katu usiruhusu kukatisha ndoto zako au malengo yako kwa sababu ya mahusiano. #liveinyourdreamsandbelieveinyourself . #blackdotgirlmakonde @officialammychiba #thenextsuperstar . Shot by @poshadanta_ratino

32356
last month

Hii ni nyingine tena kutoka kwa my brother. @izzo_bizness_mbeya ft @gnakowarawara Inaitwa SITAKI SHOBO. @officialammychiba

967
last month

Kama sio mimi basi ni familia yangu au ndugu yangu au jirani yangu au jamii yangu au Taifa langu na dunia nzima. Tuungane kwa pamoja kujikinga na kuwakinga wengine na janga hili la CORONA 'COVID19'. Link kwenye youtube channel yangu MESHAMAZING. https://youtu.be/ry8DVKEHC2s @meshamazing_official @officialammychiba

6711
last month

Soko la karafuu umeuza dagaa na ule utamu umeugawia kijiji. NIMEKUBALI @ibraah_tz #kondegangforeverybody @officialammychiba

546