@lavy_products LAVY

Clean, Quality and Affordable Personal Care and Nails Products Line by @flavianamatata Be sure to tag #LavyProducts for a chance to be featured

@lavy_products photos and videos

11 hours ago

Kucha nzuri ni miongoni mwa vitu vinavyoweza kuimarisha confidence yako! Ni rangi ipi inayokufanya ujiskie unstoppable? Zaidi ya rangi za kucha, vifaa vyetu kwa ajili ya matunzo na urembo wa kucha vinapatikana kwa bei ya jumla na reja reja. Wasiliana nasi kupitia 0713303686 #LavyMani #LavyPedi #LavyProducts

740
2 days ago

What a beautiful combo 💅🏾😍 Ahsante @sthandwasamii kwa kututag. Swipe left kuona rangi zitakazokupa muonekano huu (No 29 & 13 ). Zinapatikana kwa gel pia! . . Kujipatia bidhaa zetu TEMEKE watembelee Al-jazirah supermarket Mtoni kwa Aziz Ally No 0655899947. Kivon supermarket Mbagala Zakheim No 0659262580. Dangilo supermarket Mtoni kijichi 0713653636. #LavyMani #Lavyproducts

860
4 days ago

Healthy hair and freshly done nails will set your mood right for the new week! Tunawatakia wiki njema. . . Kwa wanachuo wa DUCE mnaweza kupata bidhaa zetu nje ya chuo kwa John cosmetics No 0713655439 #Happynewweek #LavyProducts #LavyMani

931
5 days ago

Kijani tulivu 😍😍. Ahsante @gladness_glancy kwa kututag. Rangi zetu zinapatikana kwa bei ya jumla na rejareja. Wasiliana nasi kupitia 0713303686 #LavyMani #LavyPedi #LavyNailPolish

1170
1 weeks ago

Tujikumbushie 😍😍😍. Pichani ni muigizaji Gabriel Union akiwa amepakaa Lavy No #29 🔥🔥. Kucha zake zilitengenezwa na @nailfeen . Rangi hii inapatikana kama gel na kawaida. #LavyMani #LavyNailPolish #FlashbackFriday

1364
2 weeks ago

Repost from @director_upendounique 'Mtindo wa kupaka rangi style ya “ombre” ndio habari ya mjini kwa sasa.' - Kujipatia bidhaa kwaajili ya muonekano huu kwa wakazi wa Mwanza, mtembelee @director_upendounique (0752000012 ) #LavyMani #Lavyproducts

1044
2 weeks ago

Lavy No.36 made it to New York Fashion week 💅🏾🔥. Thank you @flavianamatata for sharing😍😍. Happy Monday #Newweekvibes #LavyMani

1680
2 weeks ago

Roses are red, violets are blue, life is good when I share it with you. Happy valentine’s! Msurprise umpendaye na huduma ya manicure na pedicure kutoka Lavy Mobile Clinic na tutamfuata mpaka alipo! Kufanya booking, wasiliana nasi kupitia 0713303686 #LavyProducts #LavyMani #Lavypedi (Rangi no 13 )

750
3 weeks ago

Valentine’s hii ni muda mzuri pia wa kujipenda mwenyewe na muonekano wako mzima zikiwemo kucha zako. #LavyMani #Lavyproducts #LavyMani (Rangi no 13 ) Bidhaa zetu kwa KIGOMA utazipata @hasna_weddingandevents_deco Hasna Urembo shop, Kigoma sokoni mjini (0768560049 ).

933
3 weeks ago

Unampenda sawa, ila valentine’s hii umejipangaje kumkumbusha? Tuna vifurushi amazing kabisa vya kumkonga moyo umpendaye. . . Kwa wakazi wetu wa Moshi, jipatie bidhaa zetu Classic Saloon, TRA Road opposite TANESCO kwa @denisiogutu3 (0762582747 ). #Valentinesday #LavyMani #LavyPedi #Lavyproducts (Rangi no 20 )

571
3 weeks ago

Valentine's is fast approaching and we have just the right packages to gift your bestie, boyfriend or girlfriend. Wateja wetu wa MWANZA tupo karibu sana na nyinyi, bidhaa zetu utazipata Upendo Unique beauty shops Rocky City Mall floor ya pili, Wing B @director_upendounique #LavyMani #LavyPedi (Rangi no. 13 )

1754
3 weeks ago

Hizi ni remover pads zetu zisizo na kemikali haribifu na hazikaushi ngozi wala kucha . Yaani kwa zile siku ambazo rangi yako inabanduka kidogo basi unaweza kuzitumia kufuta rangi ilobaki na ukabaki na kucha safi. Bei ni Tshs 5,000/- tu. #LavyProducts #LavyMani #Lavypedi

532
4 weeks ago

Kero ya kukauka mikono haswa ukiwa safarini wote tunaifahamu vizuri, ila Lavy hand cream yenye ujazo wa kubebeka hata kwenye pochi itakusahaulisha shida hii. Utaipata kwa Tshs 5,000/- tu! #Lavyproducts

1128
4 weeks ago

Kusoma hakukuongezei maarifa tu bali kunakusaidia kuwa mwandishi na msimulizi bora. Je, unasoma kitabu gani kwa sasa? (Pichani ni rangi no. 58 😻 ) #Books #LavyNailPolish #LavyMani

1064
4 weeks ago

Tunapenda kusikia kutoka kwako, ni bidhaa yetu ipi ambayo ni changamoto kwako kuipata katika eneo ulilopo? #LavyProducts #LavyMani

872
4 weeks ago

Tumekurahisishia zoezi la usafi wa kucha za wateja wako kupitia vifaa vyetu vya kisasa 😍😍. Kujipatia vya kwako kwa bei ya jumla, wasiliana nasi kupitia 0713303686. Reja reja; tembelea wakala wetu aliye karibu nawe #LavyMani #Lavyproducts #LavyPedi

631
5 weeks ago

Wateja wetu wa Arusha hatujawaacha nyuma. Bidhaa zetu zinapatikana jijini kwenu kwa wakala wetu Leyaro cosmetics aliyepo Stand Ndogo, opposite na Golden Rose Hotel Pia unaweza wasiliana naye kupitia 0746071502. #Lavyproducts #Lavymani

1144
last month

Ndoto haziwezi kufanya kazi endapo hakuna jitihada. Tunawatakia wiki yenye mafanikio tele! #Lavyproducts #MondayMotivation #LavyNailPolish

780
last month

Our polish made it to the beautiful Serengeti. Spied the number 56 on @Flavianamatata 😍😍 #LavyMani

5242
last month

Repost from @gadgetcare_ "Bado wewe tu! Kila mtu now anatumia cover yenye popsocket 🔥👌🏽. Tunasemaje BADO WEWE TU 🔥 💕. @lavy_products " Kwa bei ya Tshs 5,000/- na wewe utapendezesha simu yako na pop sockets zetu #Lavyproducts

9912
last month

Unaweza kuwa wakala wa bidhaa yetu yeyote kulingana na pendeleo lako. Tupo tayari kukusikiliza na kukuwezesha katika hili, wasiliana nasi sasa kupitia 0713303686 kwa maongezi zaidi. #lavyproducts #Lavymani #lavypedi

1882
last month

Kutokana na post yetu ya wiki iliyopita kumekua na maswali mengi kuhusu upatikanaji wa taulo zetu Dodoma. Wateja wote wa Dodoma mnaweza kupata bidhaa zetu zote kwenye maduka yote ya @double_d_cosmetics_dodoma 0688707955/ 0745784473. Kwa maelezo zaidi waweza kuwasiliana na sisi kupitia namba 0713303686. Karibuni sana #Lavyproducts

940
last month

Ni bidhaa yetu ipi unayoikubali zaidi? Tudondoshee pendeleo lako kwenye comments. #LavyProducts

901
last month

Mataulo yetu yaliyotengenezwa na material ya cotton ni malaini na rafiki sana kwa matumizi ya kujikaushia, iwe mikono au usoni. Bei ya taulo zetu ni Tsh 8,000/-. Wewe unapendelea rangi ipi? #Lavyproducts

15310