#bongomovietotheworld photos & videos

3 weeks ago

Moja kati ya kazi zangu ambazo zimenifanya kujisikia na kuiona Sanaa ni kitu bora kwangu Support yako itanifanya kufika malengo na kuitangaza vema lugha yetu mahali pote Duniani Kaitazame sasa kwa Tv yako ipo YouTube —————————————————————— #Malengo #safariGroup #bongomovietotheworld #bongomovie #Support #swahilimovies #swahiliflix #mptv

171
3 weeks ago

Don’t be afraid of making mistakes Years later you’ll be calling them “EXPERIENCES” instead of “MISTAKES” and they will be key points of your success story And you don’t get jealous of someone who is ahead of you Rather take a cue from him to succeed in your life SUCCES is always between you and your mind!! ——————————————— #Malengo #Bongomovietotheworld @joharichagula @official_dianakimary #supporttosucceed @sabrinarupia

497
4 weeks ago

Subscribe to our YouTube channel please and keep watching &sharing #uwaminifuwamapenzi #Malengo #bongomovietotheworld

110
4 weeks ago

Some of you to tell me the title of this movie #Malengo #Actionmovie #bongomovietotheworld

120
last month

Tupo ki-international zaidi Huku tukiwakilisha na kuitangaza nchi na sanaa ya #Tanzania Kuwakilisha haijalishi kuwa mwanamziki au mcheza soka #Bongomovie itafika tu 💪🏽💪🏽 #Bongomovietotheworld @swahiliflix

452
Aug 2019

#Sikunyingine #NewChapter #MasaaTofauti Wengi wanadhani haya mapigano ni Fake,sasa Soon nakuletea huyu @agent_bavo kuliweka sawa hili.Sema hawa jamaa wanapiga mkono bwana.Get ready. #BongoMovieToTheWorld #BongoTunaweza #movie #movies #film #films cc @simulizinasauti @skytanzania

452
Jul 2019

Bro @timothconrad we are proud ov u.... Hongera Sana Kaka. Best Director & Viewers Choice Kutoka Dallas,Texas Marekani kwny Tuzo za Filamu za kiafrika.. African Film Festival.. #BongoMovieToTheWorld

23012
Feb 2019

Nilichojifunza kwako ni upole na mkarimu mbali na kuchelewa kwenye tukio lakin bado ulitupa airtime ya kupata interview Nakupenda Bure Dada @zamaradimketema Mungu akubaliki sana kwa kazi,kizazi chako na akuepushe na wabaya wako #BongoMovieTotheWorld #copsenemy #copsenemy

2412
Dec 2018

@timothconrad alituruhusu tutoe maoni.. Mimi yangu ni haya, kwanza naanza napongezi za dhati kwako ndugu, umepambana zaidi ya sana, ni rahisi kuona movie bora iliyoigizwa na waafrica lakini ni ngumu sana tena sana kuona movie bora iliyoandaliwa na wa Africa ila @semamovie ni bora.. nimeamini kweli #Timoth ni Director msomi, Uongozaji wako hauhitaji kukosolewa kwa levo yetu ya kibongo bongo, zile Shot nilizoziona jana n atari, zile sound track ni balaa, katika Production nakupa salute ila matatizo yapo sehemu mbili, kwanza script imekua na maneno mengi kuliko vitendo, lakini pili na kubwa ambalo kiukweli limenishangaza ni kwenye hadithi yenyewe, maswali yangu n haya, yale mauaji katika familia ya kina Maria yalitokea miaka miwili iliyopita, yule Mwizi #BwanaMjeshi ilikuaje baada ya kupata ukweli kutoka kwa Maria akakutana na waandishi wengi nje ya ile Nyumba as if, tukio ndio limetokea muda ule wakati n tukio la miaka miwili nyuma? Watu na vyombo vya dola n kwanini walikua wakiusubiri ukweli wa bwanaMjeshi ndio uwe hatma ya mama Maria, waliwezaje kumuamini #BwanaMjeshi ? . . Anywei, mimi bado lai yangu iko pale pale, #Timoth wewe n Muongozaji mzuri sana lakini wako pia Waandishi wazuri hapa Nchini, sidhani kama ungeipeleka hadithi yako kabla ya kuishoot kwa mtu kama #Shigongo alafu angekukazia, au kwa #GabrielMtitu afu angebana, Si dhani.. Tungekua tunagawana majukumu nadhani jana tungeona kitu bora mara mbili au tatu ya kile... . . Ila yote kwa yote, kama hujaitazama movie ya #Sema jitahidi uitazame, tena Nunua nakala halisi kabisa, hautajutia.. ni movie nzuri sana, #BongoMovieTotheWorld #Timamu #SemaMovie #Tico

560
Apr 2018

😂😂😂😂😂😂tabia za kuiga wakorea sio powah #bongomovietotheworld @directortanda umeiva kaka 😂😂😂

1130
Mar 2018

😂😂😂😂😂😂tabia za kuiga wakorea sio powah #bongomovietotheworld @directortanda umeiva kaka 😂😂😂

2.5k139
Nov 2017

BONGO MOVIE TO THE WORLD. . Hongera Magdalena Chris kwa ushindi wa tuzo ya muigizaji bora wa kike kwenye Tuzo za "Udada International women's film festival" nchini Kenya kupitia Filamu ya #TJunction ( @tjunction2017 ). . Pia Filamu hii ya #TJunction imeshinda tuzo ya upigaji bora wa picha "Best Cinematography". Pongezi zimfikie producer/director @amilshivji kwa kazi hii murua na yenye kuipa sifa Tanzania. . #BongoMovieToTheWorld #Tumekusoma

993
May 2017

@kubwa_la_insta mbona jamaa wamekamua 😂😂😂😂sio fresh ujue #bongomovietotheworld #kigomamojaaa

36716
May 2017

. Movie ya kibongo yenye urefu wa masaa mawili na zaidi, Bajeti yake haifikii hata nusu ya Music Video yenye urefu wa dakika mbili GATE KEEPER ya 'Ray' bajeti yake ni milioni 14 tu MY NUMBER ONE ya 'Diamond' bajeti yake ni zaidi ya milioni 49. Naomba uniambie ipi inastahili kuwa movie kati ya hizo #bongomovietotheworld #bongoflevatothegold #letitshine

51613
Mar 2017

・・・ 💃🏽💃🏽💃🏽 @moureenmichaell with @repostapp ・・・ Kiumeni soundtrack by @damian_soul #kiumenimovie in theaters from 17th march @crossophinah i tried singing yo voice and things got hard lol #supportbongomovie #bongomovietotheworld don't miss out

1857
Mar 2017

💃🏽💃🏽💃🏽 #Repost @moureenmichaell with @repostapp ・・・ Kiumeni soundtrack by @damian_soul #kiumenimovie in theaters from 17th march @crossophinah i tried singing yo voice and things got hard lol #supportbongomovie #bongomovietotheworld don't miss out

1715
Mar 2017

@jadenthegreatest himself Son of @chukichunathegreatest & @raythegreatest 😍😍😍 If you don’t have a vision, you can never be focused in a direction. #chuchudoubletouchcompany #chuchudanielproduction #chuchudoubletouch #bongomovietotheworld #bongomovie #usa 🇺🇸 #nyc 🗽 #TheBlues #theworldicons 🇹🇿 #Chuchuhansy #Jadenthegreatest #Jaden

1541
1791
Mar 2017

“Life is too short to waste time on things that have no lasting significance”. #chuchudoubletouchcompany #chuchudanielproduction #chuchuhansy #bongomovietotheworld #bongomovies #bongomovie #theworldicons 🇹🇿 #usa 🇺🇸 #USALITI #nyc 🗽

670
Mar 2017

“No matter how fast a lie runs, the truth will someday overtake it”. #chuchudoubletouchcompany #chuchudanielproduction #chuchuhansy #bongomovietotheworld #bongomovies #bongomovie #usa 🇺🇸 #theworldicons 🇹🇿 @raythegreatest @jadenthegreatest

2.0k18
Mar 2017

I have never seen where hatred overcomes love. When you love, you overcome. Love is the most powerful weapon. #chuchudanielproduction #chuchudoubletouchcompany #theworldicons 🇹🇿 #bongomovietotheworld #bongomovie #usa 🇺🇸 #nyc 🗽 #chuchuhansy #chuchu @chukichunathegreatest

2394
Mar 2017

“Every day, God has something to say to you. Even when He seems to be quiet, God is still saying something”. #chuchudanielproduction #chuchudoubletouchcompany #bongomovietotheworld #bongomovie #theworldicons 🇹🇿 #usa 🇺🇸

870
Mar 2017

Your success and happiness depend on your willingness to help others solve their problems. #chuchudanielproduction #chuchudoubletouchcompany #bongomovietotheworld #bongomovie #daressalam #usa 🇺🇸 #USALITI #nyc 🗽 #theworldicons 🇹🇿 @chukichunathegreatest @hidawachuchuhansy @hidawachuchuhansy

362
Dec 2016

“If you turn to God once, He will turn to you a million times”. #chuchudanielproduction #chuchuhansy #chuchudoubletouchcompany #chuchudoubletouch #bongomovietotheworld #bongomovie , #usa 🇺🇸 #nyc 🗽 #daressalam #theworldicons 🇹🇿

960
Dec 2016

Asante kwa wote waliompigia Mrembo #chuchuhansy kura.. bila nyinyi asingejitutumua jana.. so you guys are awesome😍✌️👏💪👌 #chuchudoubletouchcompany #chuchudanielproduction #bongomovietotheworld #Bongomovie #usa 🇺🇸 #nyc 🗽 #theworldicons 🇹🇿 @chukichunathegreatest

540

Top photos & videos on #bongomovietotheworld

Mar 2018

😂😂😂😂😂😂tabia za kuiga wakorea sio powah #bongomovietotheworld @directortanda umeiva kaka 😂😂😂

2.5k139
May 2017

@kubwa_la_insta mbona jamaa wamekamua 😂😂😂😂sio fresh ujue #bongomovietotheworld #kigomamojaaa

36716
Sep 2016

#HappyBirthday my unique Love, May GOD bless u! But one thing our L👩‍❤️‍👩ve is untouchable! Love YA 4life. #dreamerboy4life #chuchudanielproduction #chuchudoubletouch #chuchudoubletouchcompany #bongomovie #bongomovietotheworld #USA #daressalam @chukichunathegreatest @chuchufanpage .usa

201