#usaliti photos & videos

5 days ago

Mapenzi yakifika mwisho ni mateso, ahadi zote mlizowekeana zinayayuka mithili ya barafu juani, Hakuna wa kukumbuka kujitoa wala wema wa mwenzie, mabaya tu ndio hukumbukwa, Kuna sababu nyingi za mapenzi kufa/kuisha, kama.. Usaliti Siri Hila za ndugu na marafiki Mawasiliano hafifu n.k Hatushauriwi kuvunja mahusiano pindi yanapotokea matatizo, bali tunashauriwa kukaa na kuzungumza vizuri jinsi ya kuyatatua na kutekeleza, huku tukiongeza ufanisi katika mambo mbalimbali ili kuboresha penzi, Lakini kuna wakati unaweza kufanya hayo yote, ukamvumilia sana mwenzio, ukamsamehe sana mwenzio tena huwenda hata msamaha huwa haombi lakini akashindwa kabisa kubadilika, Moyo nao una kikomo cha uvumilivu ndio maana basi unaamua kumuacha tu, Pengine anakuwa si riziki yako, pengine anakuwa ni mtihani kwako, pengine riziki yako ipo mahali inasubili uachane nae ikufuate, Pengine unalazimisha mapenzi na mwisho wa siku utakuja kushtuka umeisha kabisa, VUMILIA LAKINI PALE PANAPOVUMILIKA UKISHINDWA ACHA TU JAPO KISHINGO UPANDE. Hukuja duniani kuuguza vidonda tu kwenye mapenzi na hakika hayo sio mapenzi bali mateso. Video full bonyeza Bio yangu @halisiplatform SUBSCRIBE CHANNEL YETU ILI USIPITWE NA PROJECT YETU AMBAYO INATARAJIA KUANZA HIVI PUNDE @ZindukaKijana #Usaliti #mapenzi #uongo #maumivu #masimango

144
6 days ago

U mean una bk #USALITI song From my brother from another mama @berinja_tz

61
2 weeks ago

Hivi sasa ni saa sita kasoro😀😀😂😂😷 . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . #mapenzi #usaliti #bongo #zittokabwe #halimamdee #mejakunta #hamida #diamondplatnum #mwanafa #tanzania #corona #bongomovie #kapuni #joti #mpoki #ugonjwa #udaku #Mungu #kisutu #dalili #afya #ummymwalimu #chadema #sayona #harmonize #mazoezi #jambotz #habari

562
2 weeks ago

Hukumu Ya #Usaliti # Anaitoa Allah. Tena Apa👇 #Duniani # Tege #Skio # 🙉🙉

150
4 weeks ago

It's Another day... Beautifully Thursday...Nakukaribisha Kusikiliza Kipindi Cha #Mojakubwa #Simulizi #Usaliti #Visasi #Mikasa

10813
4 weeks ago

Ni wivu tu mwenzio anaconnection za pesa😀😂😂 . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . #hamida #makamba #tanzania #kinana #mbowe #magufuli #chadema #samia #nyonyoma #jerrymuro #lowassa #cheka #copyingmechanism #mapenzi #ccm #uchaguzi #samatta #kigogo #mbeya #membe #hai #vichekesho #shilawadu #wanyakyusa #mbatia #dullvan #usaliti #diamond #jambotz #habari

795
4 weeks ago

AMIN MAAMUZ YK AMIN UPEND WK #UsiwaiKuamin #usaliti #quitenana

221
5 weeks ago

One of my best Song #USALITI link kwa bio hapo juu

144
last month

#mapenzi #usaliti

00
last month

tanzania tukae mkao wa kula COMING SOON kupata GOOD MUSIC sound mpya kabisa kwake may SEO iliyo beba kila aina ya maisha tunayo pitia kila siku so usicheze mbali wa swahili tuna sema unga nilobo Hello ||% Hello waungwana hakikisha unakua Karibu na kurasa zangu kama YouTube | @spotify @itunes @shazam @audiomack @mkitodotcom @boomplaymusic_tz @mdundomusictz @tigomusictz ||%💥✊🏿🗽Uweze kuwa wakwanza kusikiliza kazi zangu katika msimu mpya ndani ya mwaka 2020 hakika ninayofuraha kuwapa Taharifa kwamba Itakua mara 3 ya miaka yote || #GOODSOUND #NEWSOUND #MUZIKI #SAUTI #MAANDISHI #TUNGO #VINA #MAPENZI #MAISHA #KARAHA #FURAHA #USALITI #UWONGO #UPENDO #FUMANIZI #CHITING #ZAWADI #UZUNI #MUDA New | EP/: #MAPENZIKITABU 📕 Mwalimu ni mimi wanafunzi wangu ni nyie Wote wenye Hizo Tag hapo juu au kama kuna Mtu kapitia Chochote katika Hizo Tag Basi Docter nakuja kukuponya kurudisha Tabasam I can’t wait 😊 walahi #Mopao #Imba 👏🏿 🎞🎥 content under control On @slidevisuals

173

370
last month

Hello ||% Hello waungwana hakikisha unakua Karibu na kurasa zangu kama YouTube | @spotify @itunes @shazam @audiomack @mkitodotcom @boomplaymusic_tz @mdundomusictz @tigomusictz ||%💥✊🏿🗽Uweze kuwa wakwanza kusikiliza kazi zangu katika msimu mpya ndani ya mwaka 2020 hakika ninayofuraha kuwapa Taharifa kwamba Itakua mara 3 ya miaka yote || #GOODSOUND #NEWSOUND #MUZIKI #SAUTI #MAANDISHI #TUNGO #VINA #MAPENZI #MAISHA #KARAHA #FURAHA #USALITI #UWONGO #UPENDO #FUMANIZI #CHITING #ZAWADI #UZUNI #MUDA New | EP/: #MAPENZIKITABU 📕 Mwalimu ni mimi wanafunzi wangu ni nyie Wote wenye Hizo Tag hapo juu au kama kuna Mtu kapitia Chochote katika Hizo Tag Basi Docter nakuja kukuponya kurudisha Tabasam I can’t wait 😊 walahi #Mopao #Imba 👏🏿 🎞🎥 content under control On @slidevisuals

2.3k38
last month

#konceptburudani Anaitwa @marioo_tz anatualika kuangalia video official ya Wimbo wake uitwao #AYA ambao ameshaupandisha katika mtandao wa YouTube tayari (Link ipo kwenye BIO yake ). #Burudani #Marioo #Totobad #Mariootz #Adamjuma #Nextlevel #Mapenzi #Usaliti #Usalitimapenzini #Mahaba #Mapenzishatashata

220
last month

Anaitwa @marioo_tz anatualika kuangalia video official ya Wimbo wake uitwao #AYA ambao ameshaupandisha katika mtandao wa YouTube tayari (Link ipo kwenye BIO yake ). #Burudani #Marioo #Totobad #Mariootz #Adamjuma #Nextlevel #Mapenzi #Usaliti #Usalitimapenzini #Mahaba #Mapenzishatashata

360
last month

This is how we shoot our studio version video of #USALITI ... OFFICIAL VIDEO SOON..... link kwa bio juu

92
last month

Zitto Kabwe #Usaliti

214
last month

Ujumbe wa Mwalimu kwa Zitto #Usaliti

322
last month

Soon nitawaletea official video yake nendeni u tube uko mkaongeze views Basi... Link ipo apo juu #USALITI

135
Jan 2020

#kucheat #usaliti Eyow eyow karib tena kwenye page yetu ya @wasafifm_love_bite nami #yulejamaababi Kwenye mapenz kuna mambo mengi sana lkn swala lausaliti limekuwa liki katisha mahusiano yawatu wengi sana Usaliti hutokanananini???? Usaliti hutokana na vitu vifuatavyo ¤tamaa ¤kutoridhika na mwenzi mmoja ¤kumchoka mwenzi ulie nae Ushauri wa #yulejamaababi Ridhika na mpenzi ilienae na ili msichokane nyimaneni penzi mara moja moja sio mbaya hii huleta ham na missing juu ya penz lenu Niuyo mimi #yulejamaababi wa #wasafifmlovebite #wasafifm #wasafitv #usaliti @diamondplatnumz @jonijooo @mtuimara @iamcalypsoo @babutale @mama_dangote @officiall_chelly_photo

130
Jan 2020

Sitengenezagi wimbo tu natengenezaga hit songs.... #USALITI link ipo apo juu

180
Jan 2020

Mtuache kwa sababu za kueleweka jamani sio kucheat...😆😂😂 . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . #Vichekesho #vituko #Samatta #Mchochezi #JeWajua #AstonVilla #Magufuli #VivaRoma #Satmina #Mkombozi #YangaSC #MbwanaSamatta #usaliti #KwaMkapa #SimbaSC #vituko #AzamTv #Usajili #Mpira #Ligi #Mbagala #comedy #wasafisportsarena #Shilawadu #FahamuZaidi #Msuva #Umbea #Marafiki #JamboTz #Habari

821
Jan 2020

#KonceptBurudani Padri wa Kanisa Katoliki, Dk Bernard Msike ambaye aliwafungisha ndoa  ya Stamina na mkewe Veronica Peter katika Kanisa la Mt. Maria Consolata mkoani Morogoro, amewaita wanandoa hao kanisani kwa ajili ya usuluhishi. Padri huyo aliwafungisha ndoa hiyo Mei, 2018 ambayo ndoa hiyo imedumu kwa mwaka mmoja na miezi kadhaa kisha kumwagana na kuzua gumzo katika mitandaoni ya kijamii huku msanii huyo kutoa kibao cha muziki wiki iliyopita “Hii nafikiri itakuwa ndoa ya kwanza au ya pili kwa kweli, imenishtua kwa sababu sikutegemea kama wanaweza kuachana ndani ya muda mfupi namna hii,” amesema. Padri huyo amesema atawaita wawili hao kanisani kwa ajili ya usuluhishi kwani kanisa hilo bado linaitambua ndoa yao. “Niwaase tu katika kipindi hiki wasije wakaanzisha mahusiano mapya maana watakuwa wanatenda dhambi. Kanisa Katoliki linaitambua ndoa ya mwanaume na mwanamke mmoja tu mpaka kifo kitakapowatenganisha,” amesema. #Stamina #Ndoayastamina #StaminanaVero #VeronicaPeter #Ndoa #Mahusiano #Mapenzi #Marriage #Fumanizi #Usaliti #ROSTAM #Mastaa #Udaku

230

591
641

Top photos & videos on #usaliti

May 2019

😳😳😳 #betrayal #usaliti

64534
Jan 2020

Hii ni kwa wenye ndoa tu...😔😔🤦🏾‍♂ . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . #Uzinzi #Ndoa #Mahusiano #Usaliti #Malaya #Muhuni #Mchepuko #Kimeo #Kahaba #Changudoa #Mke #Mume #Msaliti #Ukimwi #Magonjwa #Zinaa #Wanaume #wanawake #Danga #Kudanga #JamboTz #Kigoma #Diamond #Wasafi #Magufuli #Ikulu

551
Jan 2020

Mtuache kwa sababu za kueleweka jamani sio kucheat...😆😂😂 . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . #Vichekesho #vituko #Samatta #Mchochezi #JeWajua #AstonVilla #Magufuli #VivaRoma #Satmina #Mkombozi #YangaSC #MbwanaSamatta #usaliti #KwaMkapa #SimbaSC #vituko #AzamTv #Usajili #Mpira #Ligi #Mbagala #comedy #wasafisportsarena #Shilawadu #FahamuZaidi #Msuva #Umbea #Marafiki #JamboTz #Habari

821
Jan 2020

ZIJUE FAIDA NA MAAJABU JUISI YA UBUYU KATIKA MWILI WAKO. Ubuyu ni tunda ambalo hupatikana katika miti jamii ya adansonia. Ubuyu umekua na matumizi mbalimbali wengi tukiutumia kama matunda. Wengine hutumia juisi yake kutengenezea barafu (ice cream ). Pia ili kuongeza ladha wengine huchanganya ubuyu na viungo mbalimbali ili kuongeza ladha ya ubuyu. Vitu vyote vilivyomo kwenye mbuyu vinatumika kama chakula au dawa kwa faida ya binadamu. FAIDA ZA UBUYU Kikubwa hasa ubuyu katika mwili una uwezo mkubwa wa kuimarisha kinga ya mwili, kuimarisha mifupa, kusaidia mfumo wa umeng’enyaji tumboni, kupunguza maumivu na uvimbe na kusisimua utengenezaji wa seli na tishu mpya. Pia kusaidia kupunguza shinikizo la damu na kuzuia magonjwa sugu. Unga wa ubuyu unaelezwa kuwa na vitamini na madini mengi kuliko matunda mengine yoyote unayoyajuwa: 1. Inaelezwa kuwa unga wa ubuyu una vitamini C nyingi mara 6 zaidi ya ile inayopatikana katika machungwa. 2. Ubuyu una kiwango kingi cha madini ya Kashiamu (Calcium ) mara 2 zaidi ya maziwa ya ng’ombe, pia madini mengine yapatikanayo katika ubuyu ni pamoja na madini ya Chuma, Magnesiamu na Potasiamu ambayo ni mara 6 zaidi ya ile potasiamu ipatikanayo katika ndizi. 3. Husaidia kujenga neva za fahamu mwilini. 4. Ina virutubisho vya kulinda mwili. 5. Ubuyu una vitamini B3 na B2 ambayo ni mhimu katika kuondoa sumu mwilini na umeng’enyaji wa madini ya chuma, kimsingi vyakula vyenye afya zaidi kwa ajili ya mwili ya binadamu huwa pia huwa na vitamin B2. 6. Unaongeza kinga ya mwili sababu ya kuwa na kiasi kingi cha vitamini C. 7. Huongeza nuru ya macho. 8. Husaidia kuzuia kuharisha na kutapika. 9. Ina magnesiam ambayo husaidia kujenga mifupa na meno. 10. Husaidia wenye presha ya kushuka na wenye matatizo ya figo. MATUMIZI NA VIWANGO Jipatie kikombe kimoja cha juisi ya ubuyu kila siku hasa usiku na baada ya wiki kadhaa utaona matokeo yake mwilini. Ili upate faida za juisi ya ubuyu, zinazoelezwa hapa, lazima upate ule ubuyu halisi (mweupe ) usiochanganywa na kitu kingine cha kuongeza ladha au rangi. . . . #afya #pesa #chakula #shilawadu #ubuyu #juisi #penzi #uaminifu #usaliti #mwili #figo #macho #unafiki #marafiki #ndoa #harusi #Mkombozi #vitaminB

270
Dec 2019

Kuna anaebisha...🙄🙄🙄 . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . #mapenzi #pesa #kudanga #shilawadu #umbea #mchepuko #penzi #uaminifu #usaliti #penzitamu #penzimotomoto #unafiki #marafiki #ndoa #harusi #watoto #jambotz #CAG #uzushi

594