#romamkatoliki photos & videos

2 days ago

#JagaEnt | 26th March | #RomaMkatoliki amezidi kuthibitisha kuwa hana akaunti yoyote hapa instagram. #NoMoreGaps

70
3 days ago

#JagaEnt | 25th March | Ni #RomaMkatoliki Vs @nikkwapili Vs @wakazimusic (Swipe kushoto kuona zaidi ). #SemaNaSisi alichoandika Nikk Wa Pili kina ukweli % ngapi? Vipi kuhusu alichoandika Roma kwa Wakazi?. #NoMoreGaps

141
3 days ago

#26a 🎶corona sio mtu mzuri ni kiburi mashughuri kamuulize raisi magufuli bila ya naniii sio mtu katika jamii wacha roma akumalizie hiii. #t100continent #romamkatoliki

1400
2 weeks ago

Zaidi bofya hapa nimeshakuwekea full Video👇 https://youtu.be/gtWr61ZUgTA #RomaMkatoliki #HabariTanzania

330
2 weeks ago

MR Maturubai Tanzania TUNAKODISHA MATURUBAI TANZANIA TOA ODA YAKO MAPEMA # CALL... #0687252865 au #0763582823 #0713_006400 ** MATURUBAI *MA STAGE YA KISASA **MA KAPETI YA KISASA **VITI **MEZA **MAJENELETA **MZIKI *** NA***MC**N K VYOO MOBILE TOILETS🚻 VITU VYOTE NI VIPYA NA VYA KISASA KABISA KWA MAHITAJI YOYOTE YALE YAFUATAYO ***MSIBA ***SHEREHE ***MIKUTANO YA KANISANI NA MISIKITINI ***MAAFALI YA SHULE NA VYUONI ***MAONYESHO NA MAKONGAMANO ****NA TUNAPAMBA SEHEMU YOTE ILE TUNAKULETEA POPOTE ULIPO TANZANIA🇹🇿 ****mungu ibariki kazi hii***AMEN** . . . . . . . . . . . . . . . . . . #clouds #bank #ccb #fm #radio #maturubai #tent #stage #mobile #tz #tanzania #tanzania 🇹🇿 #tanzanianweddings #corona #ubunifu #sebuka #kanisa #romamkatoliki #eatv #ccm #chadema #efm #mpokicomedyofficial #ericomondi #ugonjwa

70
3 weeks ago

Endeleeni kuvunja mila na desturi ila mkivunja maduka ya watu mtauliwa #rayvanny #kingkiba #rockstar #romamkatoliki #romastamina #rostam #diamond #chibu #chibudangote #kondeboy4everybody #raphareey #shilawadu #africanboy #babaako

264
4 weeks ago

Kutoka #Twittani ...Je inakubaliana na maoni ya #Romamkatoliki . _ #UbaoniTwittani #JiraniEntertainment #JE

422
4 weeks ago

Kutoka Twittani..Je unakubaliana na Maoni ya #romamkatoliki .. _ #UbaoniTwittani #jiraniEntertainment #JE

170
4 weeks ago

Roma on 🔥🔥🔥 #romamkatoliki

695
4 weeks ago

No 1, 2 compare,,my no 1 HIPHOP liberation eventer #romamkatoliki &_£"🎶🎶🎶🔊 #HrMwanaharakatiMtawala

262
4 weeks ago

The trees that are slow to grow bare the best fruit. #holyitech #technology #africa #afrika #motivationalquotes

461
5 weeks ago

Hii ndio Orodha ya Wanamuziki wa Hip Hop wa ukanda wa Afrika Mashariki wanaoongoza Kwa kuwa na wafuasi (Subscribers ) wengi kwenye mtandao wa YouTube. Tanzania imeingiza Wasanii 6 huku Kenya ikiingiza 4. Hakuna marapa kutoka Uganda, Rwanda Wala Burundi. #romamkatoliki #nyashinski #Darassa #khaligraphjones #Kingkaka #Neywamitego #Dogojanja #Octopizo #professorjay #youngkiller #youtube

351
5 weeks ago

#KonceptBurudani Hii ndio Orodha ya Wanamuziki wa Hip Hop wa ukanda wa Afrika Mashariki wanaoongoza Kwa kuwa na wafuasi (Subscribers ) wengi kwenye mtandao wa YouTube. Tanzania imeingiza Wasanii 6 huku Kenya ikiingiza 4. Hakuna marapa kutoka Uganda, Rwanda Wala Burundi. #romamkatoliki #nyashinski #Darassa #khaligraphjones #Kingkaka #Neywamitego #Dogojanja #Octopizo #professorjay #youngkiller #youtube

140
5 weeks ago

#romamkatoliki Aongoza Top ten ya Wasanii wanaorap #AfricaMashariki kwa kuwa na subscribers wengi kwenye mtandao wa #Youtube @MrExclusiveErastoMashauri

90
5 weeks ago

Game ya Rap kwa Tanzania inaonekana hailipi Kwa kiasi kikubwa, lakini huenda kwa msanii #Romamkatoliki ikawa tofauti kwa maana kachukua nafasi ya kwanza kuwa rapper mwenye subcribers wengi Afrika Mashariki akiwa na Subcribers 265k.Akifatiwa na papa Jones Kaligraphy kutoka kenya. Good news Tanzania ndio nchi ya Afrika mashariki iliyoingiza wasanii wengi zaidi katika list hiyo. #Romamkatoliki #yesbana #kaligraphy #love #fashion #Dance #music #cocacola #youtube #sound #eastafrica #yesbana #afrobeats #afroeast #DiamondPlatnumz #rap Story written by @amo_Promise

310
5 weeks ago

Kwenye list ya rappers wenye wafuasi wengi kwenye mtandao wa YouTube East Africa rappers kutoka Tanzania wameumiza baada ya 6 kutokea kwenye Top 10 huku nafasi ya kwanza pia ikishikiliwa na Mtanzania Roma Mkatoliki. . . . . . #darassa #romamkatoliki #ommydimpoz #youtube #CloudsDigitalUpdates

320
last month

Wangapi wanaungana na wazo hili la Rapper #RomaMkatoliki . Cc @roma_zimbabwe .

4.6k81
last month

😉 #romamkatoliki

312
last month

#Romamkatoliki amezoeleka kama ni msanii anaeimba sana masuala ya serikali kwa kupitia mashairi yake tata anayoyaweka katika nyimbo zake. Pia amekuwa na mashabiki wengi zaidi wanaopenda aina ya muziki anaofanya wenye kuwaelimisha na kuburudisha . . Lakini hivi karibuni #Roma ametupa #EXclusive ambayo wengi wetu hatukuwahi kuijua kuwa mwaka #2017 alienda kupiga show nyumbani kwa mh. Rais Magufuli wilayani chato. Hii imekuwa exclusive sana kwa sababu ni miaka mingi imepita. . lakini amefunguka zaidi na kusema yeye ndiye msanii pekee duniani wa kwanza kuweza kupiga show nyumbani kwa mh. Rais Magufuli. Ambayo aliongozana na msaani mwenzie waliounda kundi la #rostam Stamina. . Swali ni aliimbaje nyimbo za kiharakati? . #Roma #zimbabwe #Rostam #music #Valentine #Love #Instagram #Valentineday Written by @ Amo_Promise

250
last month

#Romamkatoliki Amezoeleka kama ni msanii anaeimba sana masuala ya serikali kwa mashairi yake tata anayoyaweka katika nyimbo zake na amekuwa na mashabik wengi zaid wanaopenda aina ya muzik wake wenye kuwaelimisha na kwaburudisha pia lakin #Roma ametupa #EXclusive Ambayo wengi wetu hatukuwahi kuijua kuwa mwaka #2017 Alienda kupiga show nyumban kwa mh. Rais magufuli chato Hii imekuwa xclusive sana kwasababu n miaka mingi imepita lakin amefunguka na kusema yeye ndiye msanii pekee dunian wakwanza kuweza kupiga ahow nyumban kwa mh. Magufuli swali ni kwamba aliimbaje nyimbo za kuharakati? Roma na stamina wanaunda kundi la #Rostam na ni kundi linalofanya vizur sana hapa Tanzania pia aliongozana na stamina katika show hiyo private ya nyumbani kwa mheshimiwa #Roma #zimbabwe #Rostam #music #Valentine #Love #Instagram #Valentineday Written by @ Amo_Promise Follow @Boresha .radio

330
last month

#NUKUU "Zama hizi ukienda ofisini,kampuni, taasisi na idara nyingi wengi wa watumishi utakaowakuta ni vijana ni jambo zuri ila napata changamoto sana ninapompeleka mke wangu " #Clinic " na kumkuta daktari anayemfanyia vipimo ni yanki tu au pengine nimemzidi umri" #RomaMkatoliki

1412
Jan 2020

#DizzimUpdates : Rapper mtanzania #RomaMkatoliki ameachia filamu fupi inayoeleza uandishi wa wimbo wake Mkombozi aliomshirikisha #OneSix . Filamu hiyo iliyoachiwa kwenye mtandao wa YouTube, maigizo yake yameongozwa na Director Salumu Majagi huku wimbo huo ukisikika bila sauti za waigizaji kusikika. : From @roma_zimbabwe Filamu Yangu Ya #MKOMBOZI Imetoka Rasmi Leo!! Bofya Link Kwenye Bio Yangu Kuitazama Sasa!!

261
Jan 2020

#DizzimUpdates : Rapper mtanzania #RomaMkatoliki ameachia filamu fupi inayoeleza uandishi wa wimbo wake Mkombozi aliomshirikisha #OneSix . Filamu hiyo iliyoachiwa kwenye mtandao wa YouTube, maigizo yake yameongozwa na Director Salumu Majagi huku wimbo huo ukisikika bila sauti za waigizaji kusikika. : From @roma_zimbabwe Filamu Yangu Ya #MKOMBOZI Imetoka Rasmi Leo!! Bofya Link Kwenye Bio Yangu Kuitazama Sasa!! : Written By @PresenterDMike .

7894
Jan 2020

Ushamba kitu kibaya ndugu zangu na kinawasumbua watu wengi sana ambao baada ya kufika mjini na kujuana na watu wawili watatu wenye majina wanajiona wamepatia maisha! Acha kuwa mshamba na usikubali kushikishwa tunguli msata na mkata wakati Mungu yupo😊 #RomaMkatoliki #Wkendvibes #mkisijr

250
Jan 2020

#RomaMkatoliki Na #Kisimani Wanakuletea Filamu Ya #MKOMBOZI Ni Filamu Bora Kuwahi Kutokea, Inasisimua, Inahuzunisha Na Utajifunza Mengi Kupitia Filamu Hii Ya Mkombozi. Haijalishi Umeanguka Mara Ngapi, Usikate Tamaa, Inawezekana Anguko Lako La Mwisho Ndio Mwanzo Wa Ukombozi Wako. Usiumie Kwa Mapito Unayopitia Yupo #Mkombozi !! Wa Kukufuta Machozi!! Nenda Na #Subscribe Sasa Kwenye YouTube Channel Ya #VIVA ROMA Ili Uwe Wa Kwanza Kutazama Filamu Hii Itakayotoka Muda Wowote Kuanzia Sasa. Artist @anaitwa .Roma @onesix1 Cast @chichi_martin_ Directed By @majagiking Grading @kellyfilm_ Grips @smart_films Credt @ezrabrown_ PM @manjulantaz #MKOMBOZI

102
Jan 2020

#RomaMkatoliki Na #Kisimani Wanakuletea Filamu Ya #MKOMBOZI Ni Filamu Bora Kuwahi Kutokea, Inasisimua, Inahuzunisha Na Utajifunza Mengi Kupitia Filamu Hii Ya Mkombozi. Haijalishi Umeanguka Mara Ngapi, Usikate Tamaa, Inawezekana Anguko Lako La Mwisho Ndio Mwanzo Wa Ukombozi Wako. Usiumie Kwa Mapito Unayopitia Yupo #Mkombozi !! Wa Kukufuta Machozi!! Nenda Na #Subscribe Sasa Kwenye YouTube Channel Ya #VIVA ROMA Ili Uwe Wa Kwanza Kutazama Filamu Hii Itakayotoka Muda Wowote Kuanzia Sasa. Artist @anaitwa .Roma @onesix1 Cast @chichi_martin_ Directed By @majagiking Grading @kellyfilm_ Grips @smart_films Credt @ezrabrown_ PM @manjulantaz @roma_zimbabwe #MKOMBOZI #AnaitwaROMA #TBJoshuaJunior #TBJoshua #EmmanuelTV #TBJoshuaJr

342
Nov 2019

Part1. Fikra zetu ndio dira ya maisha yetu. . . . . #afrika #tanzania #lightofafrika #mwanga #swahili #serengeti #kilimanjaro #kigamboni #chuo

287
Mar 2016

Hivi nyie wasanii ambao mmekua mkitangaza habari za utabibu na madawa mbali mbali ya kienyeji na freemason huwa mnalipwa shilingi ngap? wasanii ni kioo cha jamii hamuoni kama mnapotosha umma? nataka kujua huwa mnalipwa bei gani kiasi cha kuharibu image zenu kwa jamii? mmeshindwa kufanya biashara na makampuni makubwa mnatangaza na waganga wa kienyeji!!! #romamkatoliki #paulakajala #diamondplatnumz #wemasepetu #

260

Top photos & videos on #romamkatoliki

Nov 2019

Wimbo Mpya Wa #RomaMkatoliki Umetoka Rasmi. Bofya Link Kwenye Bio Yangu Kuusikiliza Wote. Ukimaliza Najua Utauridia Tena Na Tena Na Tena Aaaaf Utaurudia Tena. You Kill It My Brother.

9.7k266
Apr 2017

Breaking news: Tumethibitishiwa kuwa #RomaMkatoliki na wenzake wamepatikana na wako kituo cha polisi Oysterbay #KwanzaHabari @kwanzatv @kwanzatv @kwanzatv . Amepatikana kama ilivyohaidiwa!!!! .

1.5k147
Mar 2018

Matatizo yamezidi kumuandama #RomaMkatoliki ; account yake ya instagram imedukuliwa (hacked ). Kwa sasa Roma hayuko Instagram na hivyo epuka wahalifu wanaoweza kutumia vibaya jina lake.

9.6k97
Apr 2017

MWANANGU UPO WAPI???? FAMILIA TUMEKUMISS #romamkatoliki

1180
Nov 2019

Rapper #RomaMkatoliki amejichimbia ughaibuni? Cc @roma_zimbabwe .

8.5k119
Jun 2019

BREAKING NEWZ: kwa taarifa ambazo zilizoenea mitandaoni ni kwamba hawa mabwana yaan #romamkatoliki na #alikiba wameachana na wake zao. Kupitia instagram na page mbali mbali zimeeleza kwamba hawa mabwana wameachana na wake zao lkn chazo bado hakijajulikana bali uvumi tu ndio unaoendelea kwenye social network. Ila hakuna aliethibitisha ukweli huu. . . DONDOSHA COMMENT YAKO AU LIKE KUWATAKIA NDOA NJEMA KAMA TAARIFA ZINAZOENEA NI UVUMI TU.

96433
Mar 2018

Karibu Sana Kwenye Show ya Kibabe #HIT_AFTER_HIT Leo #Ijumaaa Nzur yenye Utulivu. Utapata Kauli ya Kwanza Alioizumgumza #RomaMkatoliki baada ya kuzungumza Na Waziri wa habar ,sanaa Utamaduni na Michezo Dr Harrison. Mwakyembe. So Join with Us Kupitia 88.9 @stormfmtz Kuanzia Muda Huu 07:45 - 10:00 Usiku. #Goodmusic Kutoka kwa @kgthedeejaytz . #Hotstories & #MoreInfo Kutoka kwa #Magicpresenter @dvjtraveller . It's Growing downdiwisee Mazee. #Usijisahaulishe #Usipagaweee #NiKipengelee #Amuakwaakili

14012
Mar 2014

Ahsante kwa uktokelezea ndano ya bongo flava #romamkatoliki #lavost #fidovato ....have a nice week end

1.3k23