#anaitwaroma photos & videos

6 days ago

RC MAKONDA: "Hata microphone zinaweza kusambaza corona, Wanahabari tafuteni teknolojia mpya ya kupata sauti, ningeomba Viongozi nikiwemo mimi tutafute mbinu mbadala ya kufikisha ujumbe kwa Watu badala ya rundo la Microphone maana hujui zimetumiwa na wangapi tangu kuanza kwa corona" #covid19 #leotv #LeoTvHabari #simbasc #nguvumoja #modewji #coronavirus #samatta #sammisagoupdates #chibudangote #babalao #ireneuwoya #diamondplatnumz #wcb4life #mshumaa #wasafitv #anaitwaroma #mwananchiupdates #idrissultan #yanga #simba #soudybrown #bongofiveupdates #samatta #tango #KobeBryant #sayonatwist #astonvilla #jeje #tanzania

40
6 days ago

KIONGOZI WA UJERUMANI AWEKWA CHINI YA UANGALIZI Kiongozi wa Ujerumani, Kansela Angela Merkel yupo chini ya uangalizi baada ya daktari aliyemhudumia Machi 20, kubainika kuwa na maambukizi ya virusi vya #Corona . Kiongozi huyo alipewa chanjo ya Pneumonia, na sasa atafanyia kazi nyumbani huku afya yake ikiangaliwa kwa karibu. #covid19 #leotv #LeoTvHabari #simbasc #nguvumoja #modewji #coronavirus #samatta #sammisagoupdates #chibudangote #babalao #ireneuwoya #diamondplatnumz #wcb4life #mshumaa #wasafitv #anaitwaroma #mwananchiupdates #idrissultan #yanga #simba #soudybrown #bongofiveupdates #samatta #tango #KobeBryant #sayonatwist #astonvilla #jeje #tanzania

100
6 days ago

1493
6 days ago

16610
1 weeks ago

Mwanamuziki nguli wa muziki wa Country kutoka nchini Marekani, #KennyRodgers afariki dunia. Rogers amefariki dunia nyumbani kwake akiwa na umri wa miaka 81 na kifo chake ni cha kawaida familia yake imesema. Rogers alivuma sana na kufanya vizuri katika miondoko ya Country music miaka ya 1970 mpaka 1980 na kushinda tuzo tatu za #Grammy . Akijulikana zaidi kwa sauti yake kavu, Rogers alitamba na vibao tofauti tofauti kama #TheGambler , #Lucille na #CowardOfTheCounty . Rogers amefanya muziki wa Country kwa miongo sita na mwaka 2013 alitunukiwa tuzo ya mwanamuziki bora wa Country wa muda wote na Chama cha Muziki wa Country nchini Marekani na kuwekwa kwenye kumbukumbu ya wanamuziki maarufu wa Country. . . #samatta #wasafitv #anaitwaroma #mwananchiupdates #idrissultan #kwiochallenge #yanga #simba #soudybrown #bongofiveupdates #samatta #tango #sayonatwist #carrymastory_tz #jeje #afroeast #chibudangote #babalao #ireneuwoya #tigofiesta #diamondplatnumz #WatapataTabuSana #wcb4life #mshumaa

270
2 weeks ago

@hamad_oil_mills Wazalishaji na wasambazaji wa mafuta ya kupikia ya alizeti kwa Bei ya jumla na rejareja BEI ZA JUMLA. 1ltr_3800(kuanzia chupa12 ) 3ltrs_11500(kuanzia geleni 6 ) 5ltrs_17500(kuanzia geleni 4 ) BEI ZA REJAREJA 1ltr_4000 3ltrs_13000 5ltrs_19000 Tunapatikana SINZA_ KUMEKUCHA. Tunafanya delivery na mkoani pia tunatuma. Kwa mawasiliano: 0676778500 KARIBUNI SANA.

373

Top photos & videos on #anaitwaroma

Nov 2019

Moja kati ya mambo yanaondelea kwenye mitandao sasa ni pamoja na @harmonize_tz kufutiwa nyimbo yake ya #UNO kwenye mtandao wa youtube ambapo Msanii @tidmusic amechukizwa na producer ambaye anasema nyimbo ya hiyo ina beat ambalo nila kwake. Neno 1 kwa Msanii @tidmusic pamoja na @harmonize_tz

1.1k52
Jan 2020

In Less Than 24HRS. We Are Number 1 On Trending Now. #Asiwaze Kwa Miaka 4 Mfululizo #Rostam #Roma X #Stamina Tumekuwa Tukiweka Hizi #Records Kwa Game Ya #HipHop #EastAfrica Kuanzia #Zimbabwe #HiviAmaVile #Kaolewa #ParaPanda #Kiba100 #KijiweNongwa #AnaitwaRoma Na Sasa #Asiwaze Thanx Fans For This Love!! Keep On Supporting Us!! We Real Appriciate🙏 Video Link On My Bio.

13.1k447
Dec 2019

PART 2: Msanii @gigy_money_og leo amefunguka kuhusiana na Mtangazaji wa @cloudsfmtz mwanadada @divatheebawse kwamba aache maisha ya (kufake ) kuwadanganya watu, Neno 1 kwa @divatheebawse na @gigy_money_og

1.1k26
Dec 2019

Video vixen @nana_tz amjibu @fahyvanny baada ya kumwacha kuachana na baba watoto wake @rayvanny full interview ipo youtube (Link kwa Bio )

1.5k20
Dec 2019

KUELEKEA TIGOFIESTA 2019 #UhuruStadium Hapa kwenye picha unatuona watatu Yani mimi, @tamimuadam na @hassanngoma_ lakini kiuhalisia Tuko wanne na Cameraman wetu @dalidalirashid na hapa palikuwa na ubishi wa nani atatawala Jukwaa? @hassanngoma_ anasema wapare wenzake @officialnandy na @mimi_mvrs11 ndio watanyoosha Mimi na @dalidalirashid ni watu kutoka #Tanga na #Morogoro tukamwambia wenetu #ROSTAM @roma_zimbabwe @staminashorwebwenzi watauaaaa mi nikawaambia pata picha linapigwa #kijiweNongwa au linapigwa #AnaitwaRoma pale Taifa hapatatosha. Kazi Ikaja kwa ndugu yetu @tamimuadam Kwao #Songea hawana msanii a kawa anatia huruma saana. Tukamwambia watu wa Kusini wote mtawakilishwa na @harmonize_tz na ndio kidogo akaanza kutabasamu. Kwa kifupi hakuna atakayeachwa nyuma. #TukutaneTaifa #LevelsBaby #Fiesta2019 @cloudstv @cloudsfmtz

1350
Dec 2019

msanii @officialalikiba amefunguka kuhusiana na ndoa yake kuvunjika na ameweka wazi kwa mashabiki zake, Neno 1 kwake @officialalikiba

1.6k10