@harmonize_tz KONDEBOY

East African 🇹🇿 @sayonatanzania Brand Ambassador 🥤 KONDE MUSIC WORLDWIDE 🦅 Booking: Bookharmonize @yahoo .com

@harmonize_tz photos and videos

9 hours ago

I TOLD YA'LL 2020 MOVIES ONLY ENJOY DAT @_justin_campos_ 🎞 #BEDROOM SONG NUMBER 1. ON @afroeast2020 🌏⚙🎹⚙ NAENDA KULALA...!!!!! 🐘 @king__mannny You Know Wht I meen ...!!!! 🦍

10.5k721
11 hours ago

WORLDWIDE 🎞🎞 OUT NOW LINK ON BIO #BEDROOM BIG SMOK ☁️ KILL IT MY GE @nicolejoyberry 🤯 SONG NUMBER (1 ) ON DAT BOOK @afroeast2020 🐘🐘🐘🐘🐘

14.9k823
12 hours ago

🤯 VIDEO 🤯 LINK ON BIO 🎞🎞🎞

13.8k710
14 hours ago

WATCH THIS LINK 🎞🎞 ON BIO🤯🤯 #BEDROOM #STAYHOME 🐘

45.8k936
17 hours ago

New 🎞🎞 Out Now Worldwide ...!!!! #BEDROOM Song Number (1 ) on @afroeast2020 Enjoy Share...!!! #STAYHOME ONE LOVE ❤🤞 #KONDEGANG4EVERYBODY 🐘

18.6k1.4k
18 hours ago

Too many DMS...!!! Asking about Dat 👸 bad girl 🤣🤣 Here You Go...!!! @nicolejoyberry she's just single 😇😇 Mmiliki wa Hiyo Lamani Ya Africa Ni Mtazania Kivutia Chetu Kingine @nicolejoyberry Ushindwe Wewe....!!! Mie Simo...!!! #BEDROOM LINK ON BIO #STAYHOME AND ENJOY DAT 🎞🎞🎞 @_justin_campos_ 🐘🐘🐘

56.9k1.8k
19 hours ago

BRAND NEW....!!! 🎞🎞 #BEDROOM ENJOY LINK ON BIO 🎞 NUJBER 1. ON @afroeast2020 🍾🍾🎊🎉 @_justin_campos_ 🤯🤯🤯

19.6k1.6k
21 hours ago

#StayHome watch Dat s***...!!!!! Link On Bio 🎞🎞🎞 BedRoom 🤯 All the Best Number 1. On ⚙🎹⚙ @afroeast2020 🐘 🎞 @_justin_campos_

28.8k2.6k
Yesterday

Dropping Tonight ...!!!! 🎞🎞🎞🎞🎞 can you guess the Song..!!! ON @afroeast2020 Ukipatia I will take You dinner tomorrow Kisha Nitakupeleka Ukaione Offisi Mpya Ya @kondegang ⚙🎹⚙🐘🐘

59.4k5.2k
Yesterday

Nguvu Mnazo....!!! Upendo Mnao...!!!! Muziki Mzuri Tunao...!!! Hamshindi Please we Need More Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 😥😥 Yess It's One Africa Lakini Nyumbani Ni Nyumbani Tuu Let's Go My People ...!!! 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 @audiomack 🐘

23.1k841
2 days ago

WE BACK BABE ...!!!! 🎉🎊🎊🍻🍾🍾🍾😇😇😇 @afroeast2020 TO THE TOP ⚙🎹⚙ LINK ON BIO #KONDEGANG4EVERYBODY @kondegang 🐘

13.3k588
2 days ago

WOOO...!!!! 🤯🤯🤯 WE BACK 🏃‍♂️🏃‍♂️ WE ARE LIVE ON @youtube x @boomplaymusic_tz @spotify @tidal x @applemusic @audiomack KILA CHOCHORO...!!!! LIKE WE NEVER LEFT 🎊🎉🎈🍾🍾🍻🍾🍾🍾🍾🍾🍾🍾🍾🍾 LINK ON BIO @afroeast2020

10.8k547
2 days ago

3.M @audiomack ONLY JUS ONE WEEK

34.8k1.1k
2 days ago

Kuna Wachache Wenda Nahisi 🤔 Hawakuelewa Kitu Hapa..!! Kwa Huyu Mama Wa Kizungu...!!! Wapo Walio Comment Kwamba Unakuwaje Na Mama Mzungu.!! 🤣 Wacha Nilifafanue Hili Kwa Wanao Ishi Nje Ya Tanzania Na Sehemu Kama UK, USA, Au Tuseme tu Ulaya Kwa Rugha Nyepesi Wameelewa Dhahiri Kabisa Nilicho Maanisha Nikwamba Asilimia Kubwa Wa Africa Wengi Ulaya Kazi Zetu zinakuwa Hazieleweki Kama Ilivyo Tamaduni Zetu Hatuchaguwi Kazi Ilimradi Mkono Uende Kinywani ...!!! Yatima Hajuwi Kudeka...!!! Kazi ni Kazi Ubaya Kuiba...!!! So hizi ni Moja Ya Kazi Wanazo Zifanya Baadhi Tuu Ya Ndugu Zetu Wanao Ishi Nje Kuwahudumia Wazungu Watu wazima Ambao Wamefika Umli Wa Kuto Jiweza Kuwapikia Kiwalisha Na Hata Kuwaosha...!!! Na zingine Nyingi Duah Zangu Zipo Pamoja Nanyi Mchana Wa Leo Mungu Mwenye Huruma Atawabariki Kazi Zenye Manufaa Zaidii...!!!! 🙏🙏 #Mama link on Bio Enjoy @afroeast2020

12.7k679
2 days ago

Starehe...!!! Ujana ...!!! Urembo...!!! Na vingine Vyote Visikufanye Ukasahau Umuhimu Wa Mzazi Wako Wa Kike...!!! #Mama Ambae Uliishi Tumboni Mwake Miezi (9 ) Na Akajifungua Kwa Uchungu Kisha Kukulea Najua Unampenda Ila Ngoma Hii Ipo kukumbusha Zaidi..!! Mana Tumeumbiwa Kusahau ...!!! Enjoy Link on Bio ...!!! #Mama Kutoka Kwenye @afroeast2020 Number 14. 🐘

12.1k463
2 days ago

Usichokijua Kutoka Kwenye ⚙🎹⚙ @afroeast2020 Nikwamba..!!! Kuna Ngoma 18/ Alafu Zote..!! Zina Video So Ukipiga Mahesabu Nikisema Niwe Na Toa Kila Mwezi 1 Inamana Zitaisha Mwezi Wa 10/2021 🤣 Ukisema Kila Baada Ya Week 2 Inatoka Moja..!!! Maana Yake Zitaisha Mwakani Mwezi Wa (2 ) Siwezi Fanya Huo Ujinga Kitakachofanyika Ni Kwamba Kila Mkifika Watazamaji Million Tuu...!!! Nachapa Chupa Lingine Ili Zisiingie Vumbi...!!!! New 🎞🎞 Tomorrow 🐘 #MpangaPlaylist 😇 Enjoy Mama Link on Bio

13.1k891
2 days ago

Hellow My People Sory Kwa Usumbufu Ulio Jitokeza Jana...!!!! @afroeast2020 Kuto Kuwepo Katika digital platform Zote..!!!! Napozungumza Na Wewe @afroeast2020 Imesha Rudi on @applemusic x @spotify x @tidal @audiomack @boomplaymusic Na Ifikapo Saa 1:00 Basi Itakuwa Live On You Tube Pia Bless Up For Your Support #KONDEGANG4EVERYBODY we Are Taking This To the World 🌏 ⚙🎹⚙ ENJOY LINK ON BIO

33.7k1.8k
3 days ago

62.2k1.5k
3 days ago

14/3/2020 MLIMANI CITY FT @mrbluebyser1988 OUT NOW ON @afroeast2020 ENJOY LINK ON BIO 🙏

18.0k610
4 days ago

14/3/2020 MLIMANI CITY @afroeast2020 LINK ON BIO LIVE SHOWS 🐘

12.1k431
4 days ago

48.3k1.0k
4 days ago

BLESS UP KWA KUWA NAMI JANA @orcadeco_tanzania @orcadeco_tanzania GETTING READY FOR NEW 🏤🏤🏤 @kondegang WAHINI MUDA NDIO HUUU...!!!!! KUNA OFER 15% 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️

14.9k413
4 days ago

ORCADECO KIBOKO...!!! JAMA MUMEJUA KUNYONYA ACOUNT YANGU...!!! NA OFA YENU YA 15% NILIJIKUTA KAMA NACHUKUA BURE....!!! NEW @kondegang 🏤🏤 IMEPAMBWA NA @orcadeco_tanzania FOLLOW @orcadeco_tanzania KIMBILIA NOW KUNA OFA YA 15% KILA KITU 🐘🐘🐘🐘

12.3k362
4 days ago

UONAPO VIDEO HII KIMBIA ....!!!!! NENDA @orcadeco_tanzania MZIGO MPYA UMEINGIA NA OFA YA 15% SISI TUMEJIZOLEA JANA MAPEMA...!!! NA NDUGU YANGU @choppa_tz MAANDALIZI YA NEW @kondegang H.Q. NI UNYAMWEZI TUUU...!!! @orcadeco_tanzania @orcadeco_tanzania MABINGWA WA FURNITURES TANZANIA...!!!!

15.0k564