@chuchuhansy C H U C H U H A N S Y

Actress from 🇹🇿|Miss Tanga|talent 2005👸 Miss Tanga organizer 2019|Balozi Mr discount| Best actress E.A TV awards 2016 🎬 C.E.O ChuDoubleTouch ent🎥

@chuchuhansy photos and videos

20 hours ago

USTADHI AL HAJI MADUA anakarama ya kumsomea mtu dua popote pale halipo bila kujali dini yamtu dua ni kwa watu wote ;je?unamatatizo ndani ya mwili wako ,unasumbuliwa na majini mahaba ,unaota ndoto mbaya ,umetafuta kazi kwa muda mrefu lakini upati,umedhulimiwa haki yako,umekua na kesi muda mwingi bila kuisha ,bishara yako haindi vizur,pia ustadhi Al haji madua anao uwezo alio jaliwa na ALLAH kwa kutumia kibu kitukufu cha Qur,an kuimarisha mausiano yalio haribika na kumtuliza mke/au mume kwa masaa 4tu, vile vile OSTADHI AL HAJI MADUA anasafisha nyota na kuondoa mikosi yote ya kulogwa :wote mnakarishwa mpigie kupitia namba zifatazo Wastp +255746848917 au +255719314592

1352
Yesterday

mida iii ndani ya @eatvtz FNL... Dada manager akiwa kaziniiiii @ronze_officiall @sirtino1 @moccogenius

1.4k13
Yesterday

kazi kazi @ronze_officiall

8306
Yesterday

Basi SAWA @ronze_officiall @sirtino1

2.2k16
2 days ago

thanks alot @planet_bongo kwa ushirikiano wenu....na kwa kuifuraia nyimbo ya @ronze_officiall ....SAWA....na unaweza...kuipata youtube

88614
3 days ago

MichongoGram Present SAWA😉 (Official Video )📺 Audio Produced BY @moccogenius Video Directed BY @joowzeytz DressCode 👕👖 BY @azzlew & @Sharobaro_wa_instagram_tz . Link Kwa Bio Ya @ronze_officiall Cc. @djscratchdesigner @sirtino1 @chuchuhansy SAWA VIDEO OUT NOW 🏹🏹 ENJOY 🤯🤯

49411
1 weeks ago

1.7k21
1 weeks ago

Mambo ya vitu OG kutoka uturuki na bei poa @flormartanzania 😘😘😘 the best @harmonize_tz

6198
2 weeks ago

ULE MUDA WA KUDAMSHI NA @REDTAGTANZANIA ndio huu sasa Tembelea maduka yetu yaliopo Mliman city na upate pamba kali kwaajili yako HII SIO YA KUKOSA wahi sasa REDTAG ndio MKUBWA WAO katika FASHION @OFFICIALSLALLY_ONE @aura .tanzania @chuchuhansy @rickmediatz @idrissultan @stanbakora_tz @carrymasttory @sada_make_up @maimarthajesse @bingoonlinetz @chatumandota KARIBU SANA

5061
2 weeks ago

HABARI NJEMA toka REDTAGTANZANIA kwa wale wote waliohisi wameikosa TATU BOMBA umepewa SIKU YA LEO kuja na kupata bidhaa zenye PUNGUZO zaidi katika maduka yetu yaliopo Mliman city,Aura mall na Kariakoo karibu sana #mliman #auramall #officiallally_one #zulia_empire #dstv #makeupartist #reney_saloon #chuchuhansy #carrymastory @aura .tanzania @redtagtanzania

1562
2 weeks ago

Mapenzi ya kweli utapata kwa MAMA TU mana ndie utakaekula nae shida japo kwenye raha ukimwachaa ..lkn yeye hatokuacha mana mapenzi yake hayanaga msimu wala hatokuchoka NO matter what!....

1.7k54
2 weeks ago

weeee kisauti @hudaa_hans vipiii... @mariam_zayid @farida .zuber

60510
2 weeks ago

Hamna kitu kizuri kama kufurai......sema tu tunapokosea ni kutegemea kupata furaha kutoka kwa mtu..jamqni sometimes jipe furaha mwenyewe fanyakitu kinachokupa furaha itafute furaha unapoipata....maisha yenyewe kama ugonjwaa wa Corona asaivi.. @baliatukasim make up @chuchudouble_beauty_parlour dress @chuchudouble_beauty_parlour hair @chuchudouble_beauty_parlour nails @chuchudouble_beauty_parlour

7.9k39
2 weeks ago

Huna haja ya kwenda China REDTAG ndio suruhisho lako wahi sasa hii sio ya kukosa Mwambie na jirani yako #mliman #auramall #cherry_unique #wolperstylish #officialshilole #dstv #zulia_empire Bei ni kuanzia 6000 hadi 30,000 @redtagtanzania

2244
2 weeks ago

About last night hongera sanaa @harmonize_tz umetishaaa sanaa

7.6k47
2 weeks ago

hongera @harmonize_tz Ila @bananazorro na mkeo mlijua nichekesha nakuandalia movie @bananazorro ya comed.😁😁😁😁

5074
2 weeks ago

Mambo ni motooooo @harmonize_tz @lamataleah mjonjwa atapona leoooo.😋😋

2.5k11
3 weeks ago

Huna haja ya kwenda China REDTAG ndio suruhisho lako wahi sasa hii sio ya kukosa Mwambie na jirani yako #mliman #auramall #cherry_unique #wolperstylish #officialshilole #dstv #zulia_empire Bei ni kuanzia 6000 hadi 30,000 @redtagtanzania

2230
3 weeks ago

Daaah...R.I.P....na pole @dudebongo

3.0k52
3 weeks ago

People nowdays gain attention by loosing respect lol

4.1k14
3 weeks ago

Nanijuvunia kuwa Superwoman,ninakila sababu yakujipongeza mwenyewe kwanza siku ya leo...napia nawapongeza wanawake wote Duniani wanao jituma,walio na ujasiri, usubutu,na wanaoweza simama wao kama wao na kujipa furaha wao kwanza kabla ya kupewa tag ..super woman wako..mi naanza na mama chuchu,mama k,love u all Happy woman,s Day..

4.3k28
3 weeks ago

Happy birthday my @iamamberlulu enjoy nakuja na majiiiii kama yoteee😘😘😘

7658
4 weeks ago

Wenye kazi zetu tumerudi kazini @rammygalisofficial @halimayahya

5.1k23
4 weeks ago

*Tuombe Sala/ Dua* Furaha, mapenzi, mafanikio, faraja, shida, karaa manung'uniko na mengine yote, vyote hivyo unaweza ukaamka navyo lakini hatuna budi kumshukuru Mwenyezi *Mungu* kwa kila jambo. Tunakushukuru Mwenyezi *Mungu* leo 5/3/2020 tumeamka salama tukiwa buheri wa afya na wengine wagonjwa wakiwa majumbaji na mahospitalini lakini yote ni sehemu ya maisha, basi tunawaombea wale wagonjwa wote waliopo majumbani na hospitalini wakapate kupona na kurejea katika hali zao za kawaida na kuweza kuzihudumia familia zao, tunawaombea masikini, yatima, wajane, walemavu na wazee wasiojiweza wakapate faraja ya maisha. Tunaomba ulinzi wako ukawe nasi siku ya leo, tukapate mafanikio chanya kwa yale yote halali tuyatendenayo kwa ajili ya kupata ridhiki sisi na familia zetu, tunaomba mafanikio yakaongezeke maradufu nasi tukapate kuwasaidia wale kwenye uhitaji wa misaada. Tunaomba kutubu dhambi zetu kwenye kipindi hiki cha kwaresima na tunataka kuziwacha kabisa, tunaomba utupe nguvu za ziada za kumshinda adui shetani na tukapate wasaa wa kukuabudu na kukutukuza. Tunamuombea Amiri jeshi mkuu wa Taifa letu la Tanzania Rais Daktari *John Pombe Joseph Magufuli* afya njema, ulinzi, hekima, busara, upeo wa hali ya juu, na uzalendo wa kweli katika kutuongoza kwenye kupata maendeleo ya kweli kwa kila mmoja wetu na Taifa kwa ujumla pamoja na viongozi waandamizi wote uliopo chini yake. Ewe Mwenyezi *Mungu* tunakuomba. *Amen 🙏🏾 Amiin 🤲🏾*

8.8k100